Jumapili, 26 Februari 2023
MASHINE BORA ZA KUSAGA KARANGA KUWA PEANUT BUTTER ZA UMEME
inatumia umeme wa nyumbani, kwa siku inasaga mpaka gunia 6 za karanga zilizokaangwa vizur. kama unatoa huduma kwa jamii, na ukawa unasaga kilo moja kwa 300/= unit moja itakupatia tsh 8000 wakati unit moja tanesco wanauza tsh 300, hivyo utapata faida ya tsh 7700. kwa mawasiliano piga sim 0683628498
Jumanne, 21 Februari 2023
MASHINE YA KUKOBOA KARANGA ZILIZOKAANGWA
Ni mashine inayotumia umeme wa Nyumbani, inakoboa karanga zilizokaangwa kwa ajili ya kusagwa kuwa peanut butter. Ni mashine inatengenezwa na kiwanda cha Tumbo Makufuli Workshop na T.G.M designer, kwa mawasiliano piga sim 0683628498 au kwa email: tumbokabona@gmail.com
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
CHANGAMOTO WANAZOKABILIANA NAZO VIJANA KATIKA UANZISHAJI WA MIRADI NA SULUHISHO LAKE
Kwa mda mrefu changamoto ya vijana ni mtaji, na hata mwenye mtaji hajui nini afanye. Wengi imepelekea kuishia kumaliza mitaji yao...
-
MRADI WA MASHINE YA KUSAGA KARANGA KUWA NTWILI Katika historia ya usagaji karanga, wazee wetu kwenye karne ya kumi na tisa walikuwa wanas...
-
MRADI WA KUFYATUA TOFARI Ukuaji wa mji unategemea sana Ukuaji wa sekta ya ujenzi, kila mmoja anawaza kujenga kama sio nyumba basi Itak...
-
Sasa TUMBO MAKUFURI WORKSHOP wameanza kutengeneza mashine za unga katika tekinolojia ya hali ya juu sana kwa mawasiliano pia 0685354906 au ...